Kwa watu wonapenda kuchuua chukua picha za matukio na zaidi kwa wale wanatafuta digital kamera amabyo anajua itaumika na watu wengi kwenye familia basi kamera hii inawezakuwachaguasahihi na kihimili vishindo na matatizo ya kimazingira .
Ina Kinga gani?
Kamera ya Olympus tough ina kinga nne . Ya
- kuzuia kuingiliwa na maji (waterproof)
- Kuhimili mtikisiko mkubwa (shockproof).
- Yau ktoharibika hata ikidondoka kwenye kitu kigumu (crushproof) kutoka umbali kadhaa
- Uchafu(dust proof) hasa kwenye lens
- Vile vile wale wa majuu kwenye nchi zenye haliya ya ubaridimkali kamera hiiina kinga ya kutoahathira kwenye freezing
Zaidi ya hizo kinga Olympus tough ina sensor ya 12 Megapixel na ina optical zoom ya 4x.
Kinga ya kutoharibika ikiingiliwa na maji inafanya kazihadi kwenye
kina kisichozidi futi 40. Kinga ya kudododnda ni kwam ubazli uziozidi
futi sabaNa kuhusu bei je ?
Kamera hii itapatiana kuanzia mwezi June 2012 kati karangi ya shaba na bei itakwa ni $400.
Je wewe ni digtal camera amabyo kwako ni ni bora
No comments:
Post a Comment