12/05/2012

MUONGOZO WA KUNUNUA LAPTOPU

Kuna wakati mwingine wanteknini tunaweza  kuonekana wanasiasa sababu wanapouizwa swali wanshindwa kutoa jibu moja kwa moja na kuzunguka kama treni. lMajibu kamahaya kweli yanaweza kuwa ya kisiasa au yanaweza  ni muongozo  jibu sahihi kulingana na mazigira au mhitaji ya mtu aliyotoa kala ya kupewa ushauri

Uchaguzi na ushauri ni kompyuta gani itakufaa inategemea na mambo kadhaa kama
  • matumizi -mara nyingi  Itatulia sehemu moja au itahamishwa hamishwa. Ni kwa ajili ya internet na Ms word au kuna kazi kama za photoshop, kucheza game na kutayrisha miziki 
  • kiasi cha pesa ul. - Kiwangocha juu na chini na bajeti muhusika aichtenga wa ajili ya manunuzi. Katika soko kuna bidhaa zinatofationa sana bei 

Vigezo vingine  vya kuzingatia ni upatikanaji wa spare na kampuni za kussuport laptop/kompyuta husika eneo ulilopo.Maoni ya watumini wa awali wa laptop ni kitu muhimu cha kuzingati pia ili ujiridhisha . Kabla ya kuinunua soma maoni ya watumiaji kutoka tovuti ambazo si za watengenezaji.(internet shopping)


Tovuti ya BBC Muongozo wa kununua Laptop/computer imetenga makundi manne ya watumiaji wa laptop . katika hayo makundi(Casual, Traveller, Home,Multimedia, Gamer ) wametaja ni specification gani mnunuzi anashauriwa kuzingatia na ni wastani wa kiasi gani itamgahrimu. Lakini kuhusu muongozo wa bei za BBC ni maoni yangu binafsi kuwa UK  bidhaa zao ziko overpriced kulingana na maisha yao ni ya hali ya juu. Kwa hiyo msomaji asizingatie sana bei.

Pia siku zote changua brand zinazojulikana kama HP, Toshiba, Acer, Dell,IBM, Asus, Sony etc .

Kama una swali maoni au ushauri dondosha ujumbe .

11/05/2012

Sayansi ya tetemeko la Ardhi

Miaka kadhaa nyuma tulisoma na kuona kwenye vyombo vya habari kuhusus tetemeko  laardhi kubwa pwani ya Japan. Baadaya ya mtetemeko huo  zilifuata dhahama nyingine za sunami  na janga la mitambo ya miozi  ya nyuklia iiyotumika kuzalisha umemem kuvuja

http://blogs.smithsonianmag.com/science/2011/03/the-science-behind-the-japanese-earthquake/