16/12/2011

SOMA CHUO CHA HAVARD BURE

Usishutuke na wala sio utani. Tunaweza kweneda havard  na kusikiliza lekcha bila wewe kupanda ndege. Gharama utayotumia ni  ndogo sana. Ukisikia dunia imekuwa kama kijiji ni sababu na  faida na Fursa zinazoletwa na TEKNOHAMA


Nisikupotee muda sabbau ekache yenyewe ni ndfu lakini ya kusisimua tulia subiri hapa hapa virtul nkurumah hall uone  moja ya faida  ya dunia kama kijiiji.

JUSTICE: WHAT IS THE RIGHT THINGS TO DO-  EP1  THE MORAL SIDE OF MURDER.


mhh hii lekch ilinishtua  nikahisi ndio mambo ama hya wanasoma watu wa system.  sina uhakika lakini.






Zaidi ya hi lekcha ya havard wanafunzi au mtu yeyote anaweza kupata lekcha kamili za masomo, vpindi na kozi mbali ya vyuo vingine maarufu kupitia youtube kama CHUO cha STANFORD , Chuo cha MIT

1 comment:

  1. mtazamaji unfanya mambo yaoenekana rahisi sana.mtu kauliza swali jana wewe tayari

    ReplyDelete