10/05/2012

Olympus waja na Tough

Kampuni ya Olympus wametoa   Digital camera mpya kwa  jina  la Olympus Tough  amabyo ina kinga nne
Kwa  watu wonapenda kuchuua chukua picha za matukio na zaidi kwa wale  wanatafuta  digital kamera amabyo anajua itaumika na watu wengi kwenye familia basi   kamera hii inawezakuwachaguasahihi na  kihimili vishindo na matatizo ya kimazingira .
Ina Kinga gani?
Kamera ya Olympus tough   ina kinga nne  . Ya
  • kuzuia kuingiliwa na maji (waterproof)
  • Kuhimili mtikisiko mkubwa (shockproof).
  • Yau ktoharibika hata ikidondoka kwenye kitu kigumu (crushproof) kutoka umbali kadhaa
  • Uchafu(dust proof)  hasa kwenye lens
  • Vile vile wale wa majuu kwenye nchi zenye haliya ya ubaridimkali  kamera hiiina kinga ya kutoahathira kwenye freezing
Olympus tough
kamera
Zaidi ya  hizo kinga  Olympus tough ina sensor ya 12 Megapixel  na ina optical zoom ya 4x.
Kinga  ya kutoharibika ikiingiliwa na maji inafanya kazihadi kwenye kina kisichozidi  futi 40. Kinga ya kudododnda  ni kwam ubazli uziozidi  futi saba
Na kuhusu bei je ?
Kamera hii itapatiana kuanzia mwezi June 2012 kati karangi ya shaba   na bei itakwa ni  $400.
Je wewe ni digtal camera amabyo kwako ni   ni bora

No comments:

Post a Comment